News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 28 December 2017

HATIMAYE LIVERPOOL YAMNASA BEKI MHOLANZI KUTOKA SOUTHAMPTON


Hatimaye Liverpool imefanikiwa kumnasa beki Mholanzi, Virgil van Dijk ambaye ilimsubukia kwa kipindi sasa.


Van Dijk atasaini na kujiunga na Liverpool pale pindi tu dirisha la usajili la Januari, 2018 litakapofunguliwa na Liverpool imekubali kutoa kitita cha pauni million 75 kwa Southampton.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About