News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 26 October 2017

WEST HAM UNITED: ETI NYIE HUKO KWENU TOTTENHAM WAKALI? SIE HUKU KWETU TUNAKULAGA YAIFURUSHA CARABAO CUP KWA 3-2

Tottenham 2-3 West Ham: Angelo Ogbonna completes comeback

Ubabe wa Tottenham Hotspur umezimwa na timu yenye msimu mbovu, West Ham United ambayo imeshinda 3-2 katika michuano ya Carabao Cup.

Matokeo hayo yamaanisha kuwa West Ham inatinga hatua ya robo fainali huku Tottenham ikifungasha virago na kuagana na michuano hiyo.

Tottenham itabidi ijilaumu yenyewe kwa kushindwa kulinda uongozi wa bao 2-0 hadi mapumziko kwa magoli ya Moussa Sissoko na Dele Alli yaliyokuja katika dakika ya 6 na 37.

Andre Ayew akaifungia mara mbili West Ham dakika ya 55 na 77 kabla Angelo Obinze Ogbonna hajafunga goli la ushindi kunako dakika ya 70.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment