News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 27 October 2017

TAMBWE: DAH!!! SIJUI!!!

Tokeo la picha la Amissi Tambwe
Matumaini ya mshambuliaji Amissi Tambwe kucheza mechi dhidi ya Simba Jumamosi yanazidi kuwa madogo. Tambwe ameendelea kutibiwa huku ikionekana bado hana matumaini makubwa kuivaa Simba itakapoivaa Simba kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, keshokutwa Jumamosi. “Bado anatibiwa, inaonekana hajawa fiti kabisa ingawa amekuwa akiendelea na mazoezi,” kilieleza chanzo. Yanga inaendelea kujifua kambini Morogoro wakati mchezaji huyo matibabu yake amekuwa akipata matibabu jijini Dar.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment