
Kama una mashaka juu ya Barcelona kuiacha Hispania na Ligi Kuu nchini humo, basi bila shaka rais wa klabu hiyo Jose Maria Bartomeu amekuondoa mashaka juu ya suala hilo.
Rais huyo amesema kwamba Barcelona itaondoka Hispania endapo Katalunya itashinda kwenye kura za kutaka uhuru wa jimbo hilo.
Hiyo inamaana kwamba Barca watachagua ligi nyingine ya kushiriki kama alivyothibisha rais huyo.


0 comments :
Post a Comment