Mpira umeisha Uwanja wa Emirates Stadium kwa matokeo ya goli 2-1 Arsenal ilibidi wasbiri mpaka dakika ya 85 ili kuweza kusawazisha goli ambalo walitanguliwa kufungwa dakika dakika ya 34 lakin super sub kijana mdogo Edward Nketiah alieingia kipindi cha pili dk 85 alikwenda kusawazisha dakika hiyohiyo kwa mpira wake wa kwanza tu kuugusa na kufunga goli la kuisawazishia timu yake kijana hyohyo alifunga tena goli dakika ya 96 kipindi cha Exra time na kuihakikishia ksonga mbele Arsenal
MATCH FACTS
Arsenal (3-4-2-1): Macey 6.5; Debuchy 6, Elneny 5.5, Holding 6; Nelson 6 (Nketiah 85, 8.5), Coquelin 6, Iwobi 6 (Dasilva 105, 5), Maitland-Niles 5.5 (Akpom 70,6); Walcott 6.5, Wilshere 6.5 (Willock 113); Giroud 5
Subs not used: Iliev, Nketiah, Osei-Tutu, Sheaf
Goals: Nketiah 85, 96
Booked: Elneny, Coquelin, Wilshere, Akpom
Manager: Wenger 7
Norwich (4-2-3-1): Gunn 7; Pinto 6, Klose 6, Zimmerman 6.5, Husband 6; Reed 7 (Jerome 101, 5), Trybull 7; Vrancic 6.5 (Wildschut 90, 6), Maddison 7 (Hoolahan 90, 6), Murphy 7.5 (Stiepermann 73); Oliveira 6.5
Subs not used: McGovern, Martin, Jerome, Franke
Goal: Murphy 34
Booked: Husband, Trybull
Manager: Farke 7
Referee: Andy Madley 5
Attendance: 58,444
MOM: Nketiah
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
0 comments :
Post a Comment