Arsenal imeendelea matumaini ya kurejea katika nafasi nne za juu kwenye Premier League baada ya kutoa kichapo cha mabao 2-0 ilipo pepetana na Brighton & Hove Albion.
Timu hizo zimeumana leo Jumapili kwenye Uwanja wa Emirates ambapo Arsenal sasa imefikisha mabao 13 katika michezo saba.
Wafungaji wa mabao hayo ni beki Nacho Monreal katika dakika ya 16 na Alex Iwobi katika dakika ya 56.
Arsenal (3-4-2-1): Cech 6; Holding 6.5, Mustafi 6.5, Monreal 6.5; Bellerin 6.5, Xhaka 7 (Elneny 83), Ramsey 6, Kolasinac 6; Iwobi 7.5 (Walcott 71, 5), Sanchez 6.5; Lacazette 6.5 (Giroud 71, 5)
Subs not used: Ospina, Maitland-Niles, Mertesacker, Elneny, Wilshere
Goals: Monreal 16, Iwobi 56
Manager: Arsene Wenger 6.5
Brighton (4-5-1): Ryan 7; Bruno 6, Duffy 6, Dunk 6.5, Bong 5; March 6.5 (Schelotto 72, 5), Propper 5, Stephens 5, Gross 5.5, Izquierdo 5 (Knockaert 76, 5); Brown 5 (Murray 76, 5)
Subs not used: Krul, Molumby, Suttner, Goldson
Booked: Gross, Duffy
Manager: Chris Hughton 6
Referee: Kevin Friend 6
Attendance: 59,378


0 comments :
Post a Comment