News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 28 September 2017

USAJILI WA HELA NDEFU MAN CITY "BENJAMIN MENDY" NJE YA UWANJA MIEZI 9


Beki wa kushoto wa Manchester City Benjamin Mendy, amepelekwa Hispania kukuona na daktari bingwa baada ya kuumia goti.  Mandy alipigwa picha akitembelea mkongojo wakati akielekea kwenye gari huku mguu wake wa kulia ukiwa umekewa 'sapoti'. Nyota huyo aliyetua City msimu huu kwa dau la pauni milioni 52 akitokea Monaco, anahofiwa kuwa atakuwa nje ya dimba kwa miezi tisa.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment