Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero amepata ajali ya gari na kudaiwa kuwa amevunjika mbavu mbili alipokuwa jijini Amsterdam nchini Uholanzi, jana Alhamisi.
Imeelezwa kuwa alikuwa nchini humo kuhudhuria tamasha la muziki la mwanamuziki wa Colombia, Maluma.
Aguero, 29, ataukosa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, imeshaahamika atakua nje kwa kipindi kisichopungua wiki 4 nje ya uwanja kwa muda gani


0 comments :
Post a Comment