Staa wa soka wa kimataifa wa Hispania mwenye asili ya Brazil Diego Costa usiku wa September 26 2017 amefanikiwa kusaini mkataba wa kurejea Atletico Madridkwa mara nyingine tena akitokea Chelsea.
Diego Costa tayari amepewa jezi namba 18 na Atletico Madrid hivyo tutaanza kumuona akiivaa rasmi mwezi January 1 atakapoanza kuichezea katika mechi za mashindano, Costa amesaini mkataba baada ya kufuzu vipimo vya afya alivyofanyiwa Jumamosi na Jumatatu.
.


0 comments :
Post a Comment