Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya Taifa Stars (Tanzania) VS Botswana September 2 , 2017
Live Updates
Timu zinaingia uwanjani
Nyimbo za Taifa zinaimbwa
Mpira umeanza dakika ya 2 Tanzania 0 - 0 Botswana
5' Assist ya Mzamiru inafanyiwa kazi vizuri na Simon Msuva na Kuipatia Tanzania goli. Tanzania 1 - 0 Botswana
15' Tanzania 1 - 0 Botswana
40' Tanzania 1 - 0 Botswana
HALF TIME
Tanzania 1 - 0 Botswana.
Ball Possession
Tanzania 48% - 52% Botswana
KIPINDI CHA PILI KIMEANZA
47' Tanzania 1 - 0 Botswana
50' Botswana wanakosa goli la wazi baada ya walinzi wa Stars kuzembea kuondosha mpira langoni 62' Simon Msuva kwa Mara nyingine anafunga bao kwa assist ya Kichuya
63' Tanzania 2 - 0 Botswana 66' Kichuya OUT Farid Mussa IN
70' Tanzania 2-0 Botswana 0
71'Botswana wanafanya mabadiliko
76' Botswana wanafanya shambulizi zuri kipa Aishi manula anafanya kazi ya ziada na kua kona
81' khamis Abdallah out Ndemla IN
83' Samatta&Msuva out
86' Botswana wanakosa bao la wazi kabisaaaaa
90' Tanzania 2-Botswana zimeongezwa dk 4 za nyongeza
FULL TIME: TANZANIA" 2" BOTSWANA" 0"
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment