News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 9 September 2017

JURGEN KLOPP AFUNGUKA KWANINI COUTINHO AATAKUA MUANGALIAJI JUKWAANI MECHI DHIDI YA MAN CITY

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp ameamua kumuacha Philippe Coutinho katika list ya wachezaji atakaowatumia katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ya September 9 2017 katika uwanja wa Etihad.
Jurgen Klopp ametangaza kufikia maamuzi hayo akitaja kuwa ameamua kuwa atapanga kikosi kipya na nafasi ya Coutinho anatajwa kuwa atachukua Oxlade-Chamberlain aliyejiunga na Liverpool kwa pound milioni 35 akitokea Arsenal.
Hata hivyo Jurgen Klopp ambaye amefanya maamuzi hayo anaripotiwa kufanya hivyo akiwa amekubaliana na Coutinho “Nimeamua kumuacha katika kikosi kitakachocheza dhidi ya Man City kwa ajili ya kumpa siku tano sita za mazoezi mazuri na kujiweka fiti zaidi”

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Millionaire  Ads
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment