Staa wa soka wa kimataifa wa Ujerumani Mesut Ozilambaye hivi karibuni yeye na wachezaji wenzake wa Arsenalkwa ujumla wamekuwa wakipondwa na kulaumiwa na baadhi ya wachezaji wa zamani wa Arsenal ambao wengine wamehoji kuwa hakustahili kuwa na thamani ya pound milioni
42, Ozil ameshindwa kuvumilia maneno na kuandika ujumbe wa wazi.
“Binafsi nimekuwa nikikubali kukosolewa lakini baadhi ya mitazamo hasi imekuwa ikitolewa kwangu kwa watu ambao hawanifahamu, ushauri wangu kwa mastaa wa zamani wa Arsenal waachekutusema na waanze kutusapoti

0 comments :
Post a Comment