News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday, 13 August 2017

YANGA KAMILI KUKIPIGA NA MLANDEGE LEO HII NA HUU NDIO MUDA NA UWANJA WA PAMBANO HILO!!


Baada ya mchezo wa jana dhidi ya Ruvu Shooting na Mabingwa hao wa Tanzania Bara kupoteza mchezo huo kwa goli 1-0 goli LA kujifunga na Abdallah Shaibu, Kikosi hicho cha Yanga kimesafiri hadi Zanzibar Kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege Fc ya huko Zanzibar mchezo utakaochezwa mida ya saa moja jioni katika uwanja wa Amani Baada ya mchezo huo  Kikosi hicho kitajichimbia Pemba Kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na Msimu Ujao pamoja na Mchezo wa Ngao ya Hisani August 13 dhdi ya Watani wao wa Jadi Simba Sc mchezo utakaopigwa Uwanja wa Taifa Jijiji Dar es Salaam

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment