Wakati Karia ameibuka na kura 99, waliomfuatia wanaonekana kupata hadi chini ya kura 10.
Karia aliyekuwa Kaimu Rais wa TFF, ametwaa nafasi hiyo baada ya mchuano mkali katika uchaguzi mkuu uliofanyika Dodoma.Makamu wa Rais amechukua. Boniphace Wambura


0 comments :
Post a Comment