News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday, 1 August 2017

UNAHISI TIMU GANI ITACHUKUA UBINGWA KATI YA HIZI INGIA UPIGIE KURA CHAMA LAKO UANZE MAPEMAAAA!! AMSHA AMSHA YA USHINDI

Kutokana na usajli uliofanywa na vilabu hivi si vibaya na si dhambi ukivifikiria kwamba vinaweza kuchukua ubingwa wa Tanzania Bara sasa basi wewe ukiwa kama mkereketwa wa timu moja wapo ya hizi au hata kama huna unayoipenda kwenye hizi unahisi inaweza ikachukua ubingwa hebu ipigie kura ili uanze kuitakia mema Club yako kumbuka mdomo na vitendo na mawazo huumba kwa hio nenda pembeni pale ya blog au kwa wanaotumia simu shuka chini utaona sehemu ya kupigia kura tumia simu nyingi uwezavyo kupigia chama lako ili lishinde kura hizi si za chumbani kila siku mtaona wenyewe timu inayoongoza kura hizi tutazihesabu wote siku moja kabla ya ufunguzi wa ligi nakutakia ushindi mwema kuanzia humu kwenye blog yako hadi dimbani kwenye chama lako kwenye computer ni pembeni ila kwa wenye cm shuka chini uipigie kura klabu yako asante
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment