Hali ilivyokua kwa sasa ndani ya ukumbi wa Mwalimu nyerere nipo kwenye kuangaza angaza
macho nione kama kina mzee Kilomoni na wenzake watakua wamefika hapa ntakujuza muda si mrefu usikae mbali na Blog hii pendwa ambayo mwandishi wake nipo ndani ya mkutano kuwaletea kila litakalojiri humu!!
0 comments :
Post a Comment