
Kiungo mpya wa Simba mwenye udambwi udambwi mwingi kwenye soka kwa mara ya kwanza alifunguka yake kuhusiana na Simba kutopata magoli mapema kwenye michezo yao ya kujipima kabla ya kuanza kwa Ligi kuu Tanzania msimu wa 2017/2018.
Akiongea baada ya mchezo wao wa jana dhidi ya Mlandege Fc ya Zanzibar alisema
” Kwanza Tunamshukuru Mungu Tumemaliza salama bila Injury, Tumefight nashukuru Makocha wameona tulipokosea wamenote, siwezi laumu ila nawaomba mashabiki wasikate tamaa maana mechi huwa hazifanani, ya leo imepita Tunajiandaa na Mechi ya Jumamos* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
0 comments :
Post a Comment