News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday, 13 August 2017

NIPO NDANI YA UKUMBI WA MKUTANO WA SIMBA NA HAYA NDIYO YANAYOJIRI KWA SASA!!

Mkutano mkuu wa Klabui ya Simba umeshaanza muda mfupi uliopita kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyarere international Conference Centre).
Ukumbi huo wa kisasa kabisa nchini upo maeneo ya Ocean Road, jirani na Chuo cha Usimamizi wa fedha (IFM), ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo kufanyia mkutano wake kwenye kituo hicho kilichobeba jina la Baba wa Taifa.
Tayari wanachama wa klabu hiyo wameshawasili na mkutano umeanza huku kukiwa na kipupwe tofauti na mikutano mingine iliyopita ambapo imekuwa ikifanyika kwenye sehemu za wazi au kweny ukumbio ambao hauna kipupwe

ENDELEA KUWA NASI TUTAKULETEA KILA LINALOENDELEA HAPA!!
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment