
Muda mfupi kabla ya uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) kufanyika taarifa ni kuwa mgombea mmoja wa nafasi ya makamu wa rais amejiondoka kwenye mchakato huo.
Taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Revocatus Kuuli imeeleza kuwa mgombea huyo ni Stephen Mwakibolwa
amefikia maamuzi hayo kwa kuamua yeye mwenyewe kwa sababu binafsi.
Kuuli amesema mgombea huyo ameshawasilisha mapendekezo yake hayo ya mamepitishwa.



0 comments :
Post a Comment