News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday, 17 August 2017

MESSI AWA BINGWA WA MATUSI SIKU HIZI

Uvumilivu ulimshinda staa wa Barcelona, Lionel Messi na kujikuta akimtukana beki wa Real Madrid, Sergio Ramos wakati timu hizo zilipokuwa zikipambana jana usiku.
Messi alimtukana Ramos wakati kulipotokea faulo ambapo beki huyo alitakiwa kumpa Messi mpira ili wapige faulo, lakini Ramos akafanya kama anampa kisha akaurusha juu.
Kuona hivyo Messi ambaye timu yake ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 akamtolea lugha kali Ramos ambaye alikuwa ameshageuka kuondoka hii imekua muendelezo wa tabia ya Messi Kutukana kwani alishapewa adhabu ya kukosa mechi za kucheza kwenye timu ya taifa kwa kosa la kumtukana refa
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment