MPIRA NI DAKIKA 70
Chelesea wanaongoza kw goli 1 lililofungwa na Marcos Alonso ntakua nakuletea matokeo jambo lolote jipya litakapokua limetokea pitia pitia hii post ntakua na update humu humu
MPIRA DK 76 MATOKEO BADO 1-0
MPIRA DK 79 BADO MATOKEO NI 1-0 CHELSEA WANAONGOZA
MPIRA DK YA 82 TOTTEMHAM WANACHOMOA GOLI
KUPITIA Michy Batshuayi KUJIFUNGA MWENYEWE
DAKIKA 88 CHELSEA WANAPATA GOLI LA PILI 2-1 KUPIA MCHEZAJI ALONSO
MPIRA UMEONGEZWA DK 5 CHELSEA WANAONGOZA 2-1
NAWAANDALIA PICHA NA VIDEOYA MTANANGE HUU KWENYE POST INAYOKUJA TAFADHALI USIONDOKE KAA NASI ILI TUKUHABARISHE!!
FULL TIME
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
0 comments :
Post a Comment