MAJINA 24 YA WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA 2017 Unknown 16:19 michezo Edit Shirikisho la Soka Duniani FIFA jana Alhamisi ya tarehe 17 August 2017 imetangaza majina ya wachezaji 24 ambao watawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2017, tuzo hiyo itatolewa London Oktoba 23. * USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA* Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About RELATED POSTS
0 comments :
Post a Comment