Mara baada ya Wallace Karia Kushinda Uchaguzi na Kuwa Rais wa TFF na Michael Wambura Kushinda nafasi ya Makamu wa Rais Msemaji wa Simba Haji Manara ameandika Maneno Haya.
hajismanara " Enzi za kubebana zimeisha TFF,na Simba hatutaki mbeleko,tunataka haki,narudia HAKI,,hongera Wallace karia na Michael Wambura,,pelekeni Soka mbele@tanfootball @wallacekaria 👏👏 "
0 comments :
Post a Comment