News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 14 August 2017

HABARI PICHA:REAL MADRID PUNGUFU YAWAPASUA TAIRI ZA BAJAJI 3-1 BARCELONA



Real Madrid imeitwanga Barcelona kwa mabao 3-1 nakukaribia  kubeba Kombe la Super Cup, mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Camp Nou jijini Barcelona.

Pamoja na kushinda kwa mabao hayo, nyota wake Cristiano Ronaldo ambaye alifunga bao la pili alilambwa kadi nyekundu.

Mabao ya Madrid yalipatikana Gerard Pique ambaye amejifunga na Ronaldo akafunga la pili kabla ya Barcelona kupata mkwaju wa penalti ambao ulikwamishwa wavuni na Lionel Messi.


Wakati Madrid wakicheza pungufu mtu mmoja baada ya Ronaldo kutolewa katika dakika ya 81, Marco Asensio aliifungia Madrid bao la tatu katika dakika ya 90 na kumaliza mchezo.















1. Ter Stegen
3. Piqué
4. Rakitic
5. Sergio
8. Iniesta
9. Suárez
10. Messi
16. Deulofeu
18. Alba
22. Aleix Vidal
23. Umtiti


Real Madrid players go over to congratulate Marcelo after his cross forced the Barca centre back to flick it into his own net

Pique bows his head after his goal put Barcelona behind in the first competitive El Clasico of the season

Lionel Messi got his team back level after converting from the penalty spot following Keylor Navas bringing Luis Suarez down

Cristiano Ronaldo then came off the bench to hammer home Real's second goal to restore the lead for the visitors


Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment