News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 18 August 2017

AZAM WALIMALIZA SWALA LA MBARAKA YUSUPHU KIUTU UZIMA USHAHIDI HUU HAPA!!

Tokeo la picha la Jaffar Idd

Sakata la mshambuliaji Mbaraka Yusuph hatimaye limefikia tamati.
Mashambuliaji huyo ambaye alisajiliwa na Azam FC hivi karibuni, alisababisha mvutano baina ya klabu yake na klabu aliyotoka ya Kagera Sugar ambayo ilikuwa ikidai kuwa bado ni mchezaji wake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd alisema Mbaraka Yusuph ssa ni mali ya klabu yao baada ya pande mbili za klabu hizo kumalizana vizuri.
Idd amesema kuwa Azam FC ilikutana na wawakilishi wa Kagera Sugar katika makao makuu ya Azam FC na wakaelewana juu ya sakata hilo na sasa hakuna mvutano tena baina ya pande hizo mbili.
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment