News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 25 July 2017

YONDANI AANZA MAZOEZI MEPESI TARATIIBU!! SI UNAJUA KATOKA KUITENDEA HAKI NDOA ?

Baada ya kukamilisha shughuli zake za kufunga ndoa, beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani ameanza mazoezi ya taratibu.

Yondani ameanza mazoezi taratibu kuanzia jana na leo anatarajia kuungana na wenzake katika mazoezi ya pamoja.

Beki huyo ambaye amekuwa tegemeo la Yanga katika safu ya ulinzi, amejiunga na timu hiyo jana baada ya kukamilisha shughuli zake za kufunga ndoa.

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment