News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday 5 July 2017

YANGA YAIPIGA SIMBA 1-0 ILI MPIRA UWE SAWA SIMBA WAMTAMBULISHE NIYONZIMA Ajibu Rasmi Yanga



Yanga, leo imemtambulisha rasmi straika waliyemsajili kutoka Simba, Ibrahim Ajib.

Ajibu amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili na ametambulishwa leo Jumatano mbele ya Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo Jangwani jijini Dar.
Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya Ajibu baada ya mchezaji huyo kushindwa kuafikiana na uongozi wa klabu yake ya zamani katika makubaliano ya mkataba mpya.

Ajibu anakuwa mchezaji wa tatu kusajili na kutambulishwa na Yanga katika kipindi hiki baada ya awali klabu hiyo kumsajili beki wa Taifa Jang’ombe, Abdallah Haji ‘Ninja’ na kiungo wa Mbao FC, Pius Buswita
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment