News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday 20 July 2017

YAMETIMIA SASA KWA MBAPPE ATOA UAMUZI WA WAPI ACHEZE MSIM UJAO, AAMUA KUCHEZEA..........


HAKUNA dili ya kumng’oa Kylian Mbappe katika klabu ya Monacco na mshambuliaji huyo chipukizi ataichezea timu hiyo msimu ujao. Kuna taarifa kuwa Mfaransa huyo yuko mbioni kuongeza mkataba wa mwaka mmoja hivyo hatatua Arsenal wala Madrid.

 SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment