News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday 15 July 2017

wenger aona kelele zimekua nyingi haya leteni pauni mil 80 kama hamna fungeni midomo yenu!!

KLABU ya Arsenal inafikiria kuachana na mshambuliaji wake tegemeo, Alexis Sanchez ambaye anatajwa kuwaniwa na kocha Pep Guardiola wa Manchester City. Arsenal wamesema kuwa, iwapo watapewa pauni mil 80, wanaweza kumruhusu Alexis kwenda anakokata. Dau hilo linawaengua moja kwa moja Bayern Munich ambao walianza kumwania tangu kuisha kwa msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Ujerumani, lakini matajiri wa Manchester City wanaweza kutoa fedha hiyo. 

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment