News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday 6 July 2017

wakati simba na yanga wakitoleana macho yabainika timu ambayo itamtambulisha Niyonzima Agost 8 kama mchezaji wao soma kwa undani habari hii..

Tokeo la picha la niyonzima haruna
MABOSI wa Simba kwa kuthamini thamani ya mashabiki wao wameamua kabla ya msimu huu kuwepo na tamasha lao la kila mwaka siku chache kabla ya Ligi kuanza "Simba Day" kuifanyia mkoani Arusha. Wekundu wa Msimbazi wanatarajia kuweka kambi ya timu ya maandalizi kati ya Moroco na mkoani Morogoro kuanzia Julai 9. Mmoja wa viongozi wakuu ameiambia TANZANIA HOT NEWS  kuwa wamekubaliana kati ya Agosti 4 kufanya Simba Day ndogo Arusha kutambulisha kikosi chao msimu ujao ambapo Haruna Niyonzima mambo yakikamilika nae ata tambulishwa pia kabla ya kurejea Dar kuadhimisha tarehe yenyewe Agosti 8. “Tunaraji kuwa na Simba Day ndogo Arusha ikiwa ni baada ya wachezaji wetu kujifua ndani ya mwezi mzima kwenye kambi itakayokuwa nje ya nchi, Morocco au hapahapa nchini mkoani Morogoro,” alisema kiongozi huyo. 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment