News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday 17 July 2017

AJIB KASHINDWA KULALA NA DENI: ANGALIA DONGO ALILOTOA !!


           Tangu alipojiunga na klabu ya Yanga mshambuliaji Ibrahim Ajib amekua akitoa misamiati mbalimbali ambayo baadhi ya wapenzi na mashabiki wa kandanda wamekua wakiyachukulia kama madongo kwa klabu yake ya zamani ya Simba.

Hata hivyo baadhi ya mashabiki wakwenda mbali na kuuzungumzia usajili wa  Ajibu kwa sura tifauti huku wakihusisha na mapenzi ya dhati ya mchezaji huyo kwa klabu.

Leo katika pitapita katika mitandao mbalimbali nikakutana na ujumbe huu kutoka kwa mchezaji huyo
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment