News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 11 July 2017

TUNAOMBA RADHI SANA SANA SANA WAPENZI WASOMAJI NA WASIKILIZAJI WA REDIO ZETU

Image result for sorry
Naomba nichukue nafasi hii kuwaomba Radhi wapenzi wa blog yetu najua hapa ndio sehemu pekee mnapopata habari zenye ukweli na uhakika pia ndio sehemu ambayo unaweza ukafungua blog hata ukiwa shemu yeyote  kwa kua ni blog yenye maadili  na ni blog ambayo utapata habari zote  habari za kimichezo ,habari za kisiasa , matukio,Burudani ,Breaking news pamoja na mambo mbali mbali hapa  lakini kulikua na tatizo la umeme ambalo lilifanya mambo yawe nnje ya uwezo wetu mpaka wataalamu walivyoweka mambo sawa  tunawashukuru Tanesco kwa kutusaidia kuweka mambo sawa
 Endelea pia kusikiliza Redio zetu za  24 fm radio kwa kubonyeza HAPA pia endelea kusikiliza redio yetu ya Dini inayoitwa praise 24 radio kwa kubonyeza HAPA  unaweza kupata blog zote kali Tanzania kwa  pamoja na kuweza kuchagua ipi unahitaji kusoma  hapo utapata blog nzuri ambazo hukua unazifahamu jina pia  HABARI 24 MEDIA  tumekuwekea pamoja  bonyeza HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment