News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday 16 July 2017

SOMA TAARIFA WALIYOITOA SIMBA LEO HII ALAFU JIJIBU KUHUSU KIUNGO HARUNA NIYONZIMA KASAJILIWA AMA CHANGA!!



Dar es Salaam. Washindi wa Kombe la FA, Simba wataondoka nchini keshokutwa Jumanne kwenda Afrika Kusini kwa maandalizi ya msimu mpya.
Simba imejizatiti kufanya vizuri kwenye msimu mpya, hivyo imepanga kuwa na maandalizi ya maana nchini humo na itarejea nchini siku chache kabla ya maadhimisho ya Simba Day, Agosti 8 mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, imesema Simba ikiwa Sauzi itacheza mechi za kirafiki ili kocha Joseph Omog aweze kuona upungufu uliopo na kuufanyia kazi walipo ulizwa vipi mbona  usajili wa kiungo Niyonzima umekua wa danadana  kiongozi huyo alisema kua fuatilieni safari yetu ya kambi  South Africa ndio mtapata majibu ya maswali yenu sisi hatusajili kwa magazeti muda ukifika wa kutambulishwa  kama amesajiliwa atatambulishwa wala msiwe na wasiwasi!! 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment