News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday 22 July 2017

SASA RASMI RASHFORD KUVALISHWA JEZI YA REAL MADRID MSIMU HUU!!


Real Madrid imemwingiza mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford kwenye mipango yao ya usajili ya kiangazi hiki. Mabingwa hao wa Hispania wataamua kumfungia kazi Rashford iwapo watakutana na ugumu wa kumsajili kinda wa Monaco Kylian Mbappe.

SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment