Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amemkataza Neymar kwenda kujiunga na PSG ya Ufaransa iliyotangaza dau nono la kumsajili.
Ronaldo alisema amewasiliana ana mshambuliaji huyo wa Barcelona na kumshauri kutofanya kosa la kwenda kujiunga na klabu hiyo ya Ufaransa.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Ronaldo amekuwa karibuni na Neymar licha ya kuwa kwenye ziara ya China.
0 comments :
Post a Comment