News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday 14 July 2017

PICHA: BEYONCE APOST PICHA YA KWANZA AKIWA NA WATOTO WAKE MAPACHA



Mwanamuziki Beyonce ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z amepost picha ya kwanza akiwa na watoto wake mapacha Sir Carter na Rumi, Beyonce amepost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter na Instagram.

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment