News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 25 July 2017

PEREZ AOMBA KUONDOKA ARSENAL AMTUHUMU WENGER AMEMDANGANYA NA PIA AMEVUNJA AHADI ALIZOMPA


Mshamuliaji wa Timu ya Arsenal Ameomba kuondoka kwenye timu hiyo baada ya kuona mambo yakimuendea mrama tofauti na matarajio yake na makubaliano ambayo walikubaliana na Club sakata hilo lilianza tangu mwaka jana ambapo mchezaji huyo hakupewa nafasi nyingi za kucheza japo kila alipoingia alikua anafunga au anaonyesha kiwango kizuri tu uwanjani Perez alianza mechi 11 tu mwaka jana na alifunga goli 7  kutokana na hilo Lucas Perez alikua akifunga hashangilii nadhani hii ilikua kumuonyesha kitu au kufikisha ujumbe kwa kocha wake sasa balaa zaidi ni kitendo cha kupokonywa jezi namba 9 aliyokua anaivaa na kupewa Lacazette, juzi kwenye kikao alilalamika arsenal hawawezi kumpokonya jezi bila kumwambia na kumuacha kwenye Trip ya china amesema anaona kua furaha yake ameicha Deportivo la coruna  kwa hio ameomba  Arsenal imuachie aondoke
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment