News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 25 July 2017

MANULA NA NIYONZIMA: JE HII KAULI NDIO WAMETUMWA WAISEME NA SIMBA?


Kipa wa Timu ya Taifa Taifa Stars na akicheza  Azam Fc msimu Uliopita naye ametoa majibu kama ya Niyonzima kuhusu Ni wapi hasa ataelekea Msimu Ujao wa 2017/2018.

Niyonzima alipoulizwa kuwa atajiunga na KLABU gani msimu Ujao alijibu watu wasubiri wakati Ukifika Kila Kitu kitawekwa wazi, Hivyo hivyo kwa Aishi Manula naye baada ya Kutua Tanzania Kutoka Rwanda alipoulizwa naye alijibu watu wasubiri wakati Ukifika Kila Kitu kitawekwawazi.

Mpaka sasa ndugu msomaji wa TANZANIA HOT NEWS, Simba ndiyo wanahusishwa zaidi kuwa katika Mipango ya kuwasajiliwachezaji hao, Ila inasemekana kuna mambo madogo yanakwamisha Usajili Kukamilika
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment