LIONEL MESS NA SUAREZ WAMPIGIA MAGOTI NEYMAR ASIONDOKE!!
Lionel Mess na Luis Suarez pamoja Pique wamempigia magoti Neymar asiondoke na kupuuzia Dau alilowekewa na PSG anbalo kama uhamisho huo utafanikiwa utakua Uhamisho wa Rekodi ya Dunia
Gazeti la Mundo Deportivo limeeleza habari hio imeifanya kambi ya Timu ya Barcelona kua na wasiwasi na wachezaji wenzie hao muda mwingi wamekua wakimsisitiza aachane na dili hilo na habari kutoka katika kambi hio inasema Neymar amesha waambia wachezaji wenzake kwamba anajiunga na PSG
0 comments :
Post a Comment