News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 18 July 2017

kwa hart yametimia afuzu vipimo vya Afya kujiunga na..........


Kipa wa Manchester City  Joe Hart amefuzu vipimo vya afya na kukamilisha  usajili wa mkopo kujiunga na  West Ham. City wataendelea kulipa sehemu ya mshahara wa 120,000 kwa wiki wa Joe Hart wakati West Ham wanaweza wakawa na nafasi ya kumsajili jumla mwishoni mwa msimu huu. 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment