News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday 14 July 2017

KOKOTE PALE UTAKAPOKUTANA NA BAKAYOKO KUANZIA SASA JUA NI MALI YA CHELSEA


Kiungo wa Monaco, Tiemoue Bakayoko Ijumaa hii atafanya vipimo vya afya kabla hajakamilisha usajili wake wa kujiunga na Chelsea.  Mabingwa wa England wamefikia makubaliano na Monaco juu ya ada ya uhamisho na sasa kiungo huyo anahesabu masaa kabla ya kutangazwa rasmi kujiunga na kikosi cha Antonio Conte.
BONYEZA HAPA KUSOMA BLOG ZOTE KALI TANZANIA KWA PAMOJA HUANGAIKI TENA             KUTAFUTA MAJINA WE BONYEZA HAPO CHINI KUINGIA 



                            
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment