News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday 1 July 2017

GODFREY KARUBU AANDIKA BARUA YA KUJITOA KINYANG'ANYIRO CHA URAIS AKIWA MAHABUSU

Tokeo la picha la Godfrey Kaburu
Godfrey Kaburu aliyekuwa akiwania nafasi ya urais Katika Shirikisho la Soka Nchi TFF imedaiwa kuandika Barua ya kujitoa kwenye mbio hizo za Kuwania Urais wa Shirikisho hilo.

Juzi Kaburu na Aveva walipandishwa kwenye Kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Kusomowa Mashtaka Matano yakiwemo ya Utakatishaji Fedha.


Kaburu na Aveva walikosa dhamana  kutokana Mahakama hiyo kukosa miguu ya kusikiliza dhamana za makosa ya uhujumu uchumi.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment