Mwenyekiti wa kamati ya Usajili ya Timu ya Yanga leo kwa mara ya mwisho kuhusu mchezaji Haruna Niyonzima na kusema mchezaji huyo wameshampa mkono wa kwaheri na aliwaambia kuna timu ina zhela nyingivna walishamruhusu na wala hayupo kwenye mipango ya timu wala hawana habari nae tena kwa hio hio ndio kauli ya timu kwamba mashabiki na wapenzi wa Yanga waelewe kuanzia leo kua hakuna tena Niyonzima Yanga Africa

0 comments :
Post a Comment