News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday 16 July 2017

MBAO FC YA MWANZA YATANGAZA IMEMSAJILI MSUVA ALIENDA MWENYEWE NA KUFANYA NAO MAZOEZI NA KUSAJILI soma habari hio hapa!!



Tokeo la picha la msuva
Mwanza. Mdogo wa winga wa Yanga, Simon Msuva mshambuliaji James Msuva amejiunga na klabu ya Mbao FC.
Mshambuliaji huyo chipukizi amefanya mazoezi na Mbao iliyojichimbia katika uwanja wake wa nyumbani uliopo Mjini Mwanza.
Picha inayohusiana
Katika mazoezi hayo James alikuwa na wachezaji mwingine Amos Abel, aliyewahi kuichezea timu ya vijana ya Yanga na Kipa Kabali Faraji aliyewahi kuichezea klabu ya Simba na African Sports iliyoshuka Daraja.
Tokeo la picha la msuva NA MDOGO WAKE
 Wachezaji hawa wamefanikiwa kuingia moja kwahiyo moja katika mipango ya kocha Etienne Ndyaragije baada ya kipindi chote cha mchujo walichokuepo Mwanza takribani wiki sasa.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment