News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday 15 July 2017

BARCELONA YATENGA MIL 28 ILI KUMNG'OA HECTOR BELLERIN ARSENAL Soma zaidi hapa


KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania imetenga dau la pauni mil 28 ili kumnasa beki wa Arsenal, Hector Bellerin. Barcelona inaboresha kikosi chake baada ya kupoteza ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania msimu uliopita ambapo Kombe hilo lilikwenda Real Madrid.

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment