News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Thursday 20 July 2017

BAADA YA TETESI KUA MORATA ANAENDA CHELSEA: SOMA ALICHOSEMA NA KILICHOTOKEA MAZOEZINI JANA MAREKANI...


Tokeo la picha la AVLVARO MORATA PRE SEASON
Baada ya kuhusishwa na taharifa kutoka kua Timu yake ya Real Madrid na Chelea zimekubaliana kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo  Habari ya tukio hilo aliipata akiwa mazoezini na wenzake   akafatwa na gari   kabla ya kuondoka ilibidi awakumbatie wachezaji wenzake awaage  akaingia kwenye gari  safari ya kurudi kwake kujiandaa kwenda airport kwa ajili ya maongezi rasmi juu ya yeye na Chelsea  na kupanga tarehe rasmi ya kufanyiwa vipimo kwa hio kwa hatua hii ni wazi tayari sasa mchezaji huyu ni nusu na robo ya mali ya Chelsea
Picha inayohusiana
           
SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment