Timu ya Arsenal imeshinda kwa mikwaju ya penalty dhidi ya Bayern Munich baada ya kutoka droo ya 1-1.
>>Magoli ya Lewandowsk dakika 9 na Iwobi dakika ya 90 yamefungwa ndani ya dakika 90.
Kipa wa Arsenal Emi Martinez ameokoa penalty mbili.

SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
0 comments :
Post a Comment