News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday 21 July 2017

NDANI YA DAKIKA 2 GOLI 2 !! LUKAKU NYAVUNI MPEMBA RASHFORD NYAVUNI WAHENGA MAN CIT 0


Man city yaendelea kuwa nyanya kwa timu  kubwa  baada ya kukubali kichapo kutoka kwa majirani zao Man united  mechi ambayo timu zote zilionekana kuikamia  na kutia full vikosi   lakini uzembe wa golikipa uliiponza  Man city  baada ya kurudisha pasi fupi iliyowahiwa na  Romelu Lukaku  na  kuiweka Man united mbele wkiwa bado wamechanganyikia  ndani ya dk ya 2 tu toka wafungwe goli la kwanza Mpemba  kama wengi wanavyopenda kumuita Marcus Rashford  akawanyanyua tena  Man united kwa Goli tamu ambalo ndilo lililowafanya Man city wazidi kupagawa lakini hadi mwisho wa mchezo Man united 2 Man City 0





SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment