News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday 19 June 2017

Mtoto aliefia kwenye Gari Mama yake akiwa Gest akizini Azikwa

Mtoto  wa miaka 9 alifariki akiwa amefungiwa ndani ya gari na mama yake aliyesemekana kwenda kujivinjari na mwaume  mwingine maeneo  ya  kaunti ya Bungoma.  - Enos Barasa amezikwa jana  Jumamosi Juni 17 nyumbani kwao mtaani Luanda eneo la Sangálo 
Mtoto huyo wa  miaka   9 nchini  Kenya aliyeaga dunia Jumatatu Juni 12 na  amezikwa jana nyumbani kwao Luanda eneo mbunge la Sangálo  

Majonzi tele huku mvulana aliyefariki mamake alipokuwa akila uroda na mpango wa kando akizikwa Enos Barasa aliachwa ndani ya gari na mama yake aliyenda katika nyumba  za  wageni   kujivinjari na mpenzi wake ,June Ngángá. Taarifa za awali ziliarifu kuwa Barasa alifariki baada ya kukosa hewa ndani ya gari hilo lakini baada ya vipimo kadhaa kufanyika, ilibainiwa kuwa mvulana huyo alifariki  dunia kutokana na majeraha kichwani.  

. Mama  wa  marehemu Christine mwenye umri wa miaka 37 alitiwa mbaroni na mpenzi wake June Ngánga huku uchunguzi ukianzishwa.  
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment