Mastaa wamarekani wanazidi kujitokeza kumkingia kifua Snoop Dogg ambaye siku chache zilizopita aliachia video ya wimbo wake ‘Lavender’ ambayo inaonekana kumkashfu Rais wa nchi hiyo Donald Trump.
Rapper Common ameungana na T.I pamoja na Bow Wow kumtetea Snoop. Akiongea na mtandao wa TMZ wakati akitoka mazoezini mjini Los Angeles, Common amesema, hip hop inaegemea katika uhuru wa kuongea.
“Hip Hop always being about freedom of expression. That was most powerful for thing, hip hop like a voice thing powerful. Have you going think a day the public enemy you faithful with Kendrick Lamar,” amesema.
0 comments :
Post a Comment